THIS IS EXAMPLE SITE TITLE FOR YOUR BLOG 1
Sample blog one. kama unataka blog kama hii nitakutengenezea kutokana na mahitaji yako. nitakuwekea nafasi za matangazo, background image utakayo wewe, kama ni picha yako au inayoendana na content za blog yako. nitakuwekea widgets utakazotaka kama likes za facebook, na mitandao mingine ya kijamii. yote hayo kwa bei ya 50,000/= tu.
pia nitai add kwenye google index na search engine zingine, nitakuwekea angalau 10 quality backlinks kuongeza namba za viewers wako.
Na sio lazima blog kama hii, naweza kukutengenezea blog nyingine nzuri tu kutumia custom templates. angalia mifano ya baadhi ya kazi zangu.
pia natengeneza forums
4. law-junction.com (itakua online kesho 26/11/2013) now under contruction unaweza ona hapa
0 comments: